Utangulizi wa programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu | Injili ya kurudi kwa Bwana Yesu

2018-01-31 15

Utangulizi wa programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu | Injili ya kurudi kwa Bwana Yesu

Pakua Programu: https://sw.kingdomsalvation.org/app.html

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Ili kutimiza shauku kuu ya watu kutoka asili mbalimbali ya kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho, Kanisa la Mwenyezi Mungu limetoa programu yake ya kwanza ya simu ya mkononi.

Tunakukaribisha wewe, mtu ambaye hutafuta kuonekana kwa Mungu, ili uwasiliane nasi.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Baadhi ya vifaa ni kutoka:
Circle Burst Assets Green Screen Circle 3 Fast(https://youtu.be/HRByxy6Gy7Q) by HD Green Screen/CC BY 3.0 (https://creativecommons.org/licenses/by/3.0/) Green Screen Motion Element 10(https://youtu.be/N28E7Qf7Kdc) by HD Green Screen//CC BY 3.0 (https://creativecommons.org/licenses/by/3.0/)